.

.

.

.

Friday, April 17, 2009

SIMBA N YANGA ZAPATA NYUZI MPYA

Bosi wa masoko wa tbl david minja leo ametoa jezi mpya kwa Yanga na Simba nyuzi mpya ambazo watazitumia Jumapili ijayo.
Yanga ambayo ilisema itawatandika simba saba kama kipindi fulani hivi walivyonyukwa wao na goli la ziada wamepata raha sana na nyuzi zao mpya ambazo zilipokelewa na mh. Kisasa.Simba wao walipokelewa na Omari Gumbo.
Tbl, kupitia kinywaji chake cha kilimanjaro premium lager, inawadhamini mahasimu hao wa jadi na pia ligi kuu ambapo mshindi huwa wanampa milioni 25 na mshindi wa pili analamba milioni 15. .


No comments:

Post a Comment