.

.

.

.

Tuesday, January 25, 2011

KUMBUKUMBU ( SWETU FUNDIKIRA )

Marehemu Swetu Fundukira

Ni mwaka mmoja tokea ndugu yetu, kaka yetu, mpendwa wetu Swetu Fundikira alipouwawa kikatili.
Matukiouk inaungana na familia ya marehemu katika kumkumbuka Swetu ambaye japo kimwili katutoka, lakini kamwe kumbukumbu yake kuwepo nasi wakati wa uhai wake itadumu milele nyoyoni mwetu.
MWENYEZI MUNGU AILAZE ROHO YAKE MAHALA PEMA PEPONI

No comments:

Post a Comment