.

.

.

.

Tuesday, February 22, 2011

NI MASIKITIKO MAKUBWA .............

Image
Jacob Nyajiego (mwenye suti nyeusi) akipita kutoa heshima za mwisho mbele ya majeneza yaliyohifadhi miili ya marehemu mke wake, Rozi Nyajiego (34) na watoto wake wawili, Clementina Nyajiego (4) na Stella Nyajiego (miezi 3) waliokufa kwa kuangukiwa na ukuta wa nyumba wakati wa milipuko ya mabomu. Ibada ya kuwaaga ilifanyika nyumbani kwake Mzambarauni, Gongo la Mboto Dar es Salaam. Miili ya marehemu hao ilisafirishwa kwenda Rorya, mkoani Mara kwa maziko. (Picha na Fadhili Akida)

No comments:

Post a Comment