.

.

.

.

Thursday, June 23, 2011

CHANELI MPYA DSTV YAZINDULIWA


Pichani kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa M-Net Afrika Biola Arabi,Muwakilishi wa M-Net Afrika Mashariki Wangeci Murage pamoja na Meneja Masoko wa Multchoice,Furaha Samalu wakiwa mbele ya wageni waalikwa mbalimbali wakiwemo na Waandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa chaneli mpya ya AFRICAMAGIC SWAHILI ndani ya DSTV. Chaneli hiyo itaanza kuonekana kwa baadhi ya nchi ambazo zinazungumza lugha ya Kiswahili ikiwemo Tanzania,Kenya,Ugand,Rwanda,Ethiopia,Burundi,Congo na DRC.

No comments:

Post a Comment