.

.

.

.

Wednesday, June 15, 2011

MH.BALOZI NA WAZIRI WETU MKUU


Balozi wa Tanzania nchini Uingereza, Peter A. Kallaghe na familia yake walipata mwaliko maalum kutoka ofisi ya waziri mkuu nchini uingereza mheshimiwa David Cameroon ( wa pili toka kulia)10 Downing street, London siku ya Jumamosi tarehe 11/6/2011 kuhudhuria "Trooping The Colour", Parade maalum ya kila mwaka ya kuadhilimsha siku ya kuzaliwa kwa Malikia Elizabeth II.

No comments:

Post a Comment