.

.

.

.

Saturday, June 25, 2011

PICHA YA LEO

Vodacom Miss Mwanza 2011 Irene Kalugaba akiwa katika picha ya pamoja na mshindi wa pili Vodacom Miss Mwanza Frola Razaro (kulia) na Monica James mshindi wa tatu wa shindano la Vodacom Miss Mwanza lililofanyika kwenye hoteli mpya na ya kisasa kabisa ya Gold Crest jijini MWANZA jana.

No comments:

Post a Comment