.

.

.

.

Thursday, November 24, 2011

KHADIJA NGODAH ALAMBA NONDOZZ UK

Khadija Ngodah mwanadada mtanzania aisihe mjini Reading Uingereza amelamba nondoz kutoka chuo kikuu cha West London kilicho kuwa kinajulikana kama Thames Valley University (TVU) na kuibuka na Bachelors of Art (Hons) in Business with Human Resources Management. Tunapenda kumpongeza sana ndugu yetu huyu kwa juhudi na mafanikio hayo na pia kuwatia moyo wanawake wengine wote maana 'tunaweza'!

No comments:

Post a Comment