.

.

.

.

Monday, December 19, 2011

IMAN TV IKO NJIANI


Waumini wa dini ya Kiislamu wakifuatilia kwa makini sehemu ya matukio ya uchangiaji wa fedha kwa ajili ya kuanzishwa kwa Televisheni ya Kiislamu ya Iman (Iman Tv), katika Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam jana. Hafla hiyo ilihudhuriwa na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad. (Na Mpigapicha wetu)

No comments:

Post a Comment