.

.

.

.

Friday, February 10, 2012

WATANZANIA NI WABUNIFUU .......


 Michezo mingi ya kutumia vifaa vya kisasa ipo mijini kutokanana na urahisi wa kupata vifaa hivyo vya kuchezea. Pichani ni vijana na watoto walio na uchu wa kucheza mchezo wa pool na kuamua kutengeneza meza yao ya pool na kucheza kwa kutumia ndulele kama inavyoonekana katika picha hii. Hakika huu ni ubunifu na huyu ane cheza hapa ukimpeleka katika meza ya kisasa bilashaka atacheza vyema. Mungu Ibariki Tanzania.


KWA HISANI YA FK 

No comments:

Post a Comment