.

.

.

.

Wednesday, June 06, 2012

WABUNGE WA BUNGE LA AFRIKA MASHARIKI WAPONGEZWA





  Shy-Rose Banji akipongezwa na ndugu na jamaa zake.
 Wabunge wakipongezana baada ya kiapo nje ya Ukumbi huo wa Bunge uliopo Jengo la AICC mjini Arusha
  Wabunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wakimpongeza Shy Rose.
  Picha ya marafiki na familia
  'Kaka wa Taifa' Makongoro Nyerere akitoa neno la shukrani kwa wageni wote waliohudhuria hapo. Pamoja nae ni Nd.William Malecela
 Abdula Mwinyi na Mkewe kati pamoja na Mbunge wa Bunge la Tanzania, Magige wakipata msosi
  Waheshimiwa hawa nao walikuwepo...
  Lady Jay Dee akifungua shampaing na kuwamiminia watu.
 Wakati wa Chiiiiiiiizz!!
 Wabunge wa Bunge la Afrika Mashariki upande wa Tanzania jana usiku mara baada ya sherehe za Kuapishwa na uzinduzi wa Bunge hilo jipya la tatu walifanya sherehe ndogo ya kujipongeza iliyofanyika katika Hoteli ya Kibo Palace ya mjini hapa na kuhudhuriwa na watu mbalimbali wakiwapo ndugu jamaa na marafiki.

Picha Zote na Mdau Mroki-Arusha

No comments:

Post a Comment