.

.

.

.

Wednesday, November 19, 2008

NURU MAGRAM NA ALIKIBA JUMAMOSI HII

Anaitwa Nuru Magram.Makazi yake ni ndani ya jiji la Stockholm nchini Sweden. Bila shaka unamkumbuka kwa vibao vyake kama vile Walimwengu na Msela ambavyo ndivyo vilimtoa katika ulimwengu wa muziki.Hivi karibuni amekuwa studio akikamilisha project yake mpya ya muziki ambayo itakamilika hivi karibuni.Lakini kuonyesha jinsi ambavyo bado hajajiweka kando na mambo ya muziki, hivi karibuni mnamo tarehe 22 Novemba anatarajiwa kufungua show ya mwanamuziki mwingine wa Bongo Flava, Ali Kiba.Show hiyo itafanyikia jijini Stockholm.


1 comment:

  1. kudadeki huyu dem mzuri na cku hiyo madem na sisi majita tutaenjoy maana wao na alikiba na sisi na nuru au sio hahahh si mchezo

    ReplyDelete