.

.

.

.

Tuesday, May 19, 2009

JK NCHINI MAREKANI

Rais Jakaya Kikwete na ujumbe wake wakiwa makao makuu ya CISCO katika Sillicon Valley kitongoji cha San Jose nje kidogo ya San Francisco Jumatatu katika mkutano wa mtandaoni na wajumbe waliokuwa Geneva na London
Makamu wa Rais wa kampuni ya IBM Dk. Mark Dean akitoa maelezo ya shughuli ya kampuni hiyo inayotimiza umri wa miaka 100 mwakani. IBM wanashirikiana na Chuo Kikuu cha Dodoma kwa kutoa mafunzo na kuendeleza TEKNOHAMA na wameahidi kuendelea kuisadia Tanzania katika sekta hiyo

No comments:

Post a Comment