.

.

.

.

Sunday, December 07, 2008

EVE AWASILI BONGO

Eve shoto akiwa na bodigadi wake kati na Mwenyeji wake Mkurugenzi wa Prime Time Promotions Mr Joseph Mlebya Kussaga.
Mwanamuziki maarufu wa kimarekani Eve amewasili asubuhi hii katika jiji la bongo,mwanadada huyo toka kundi la ruff ryders yuko tayari kwa onyesho atakalofanya kwa kushirikiana na mwanamuziki mwingine kutoka hukohuko Marekani Fat Joe ambaye atawasili leo usiku na kundi la P. Square linalowasili kesho tayari wote kwa kuwasha moto katika viwanja vya Gymkhana jijini Dar.


No comments:

Post a Comment