u all remember the following:
- nyumbani kila kitu kilikuwa na namba kuanzia mapazia, makochi, mashuka, jiko, friji yu name it unakuta kitu kimendika sido/mhs/112, nbc/jht/0054 etc
- in our living rooms... makochi, coffee table na viji stuli vilivyokuwa vinakaa chini ya coffee table vyote vilikuwa vimepambwa na vile vitambaa vya maua vya maza zetu. halafu wakati wazee hawapo homu mnavitoa ili vizikujike na mida ya saa 9 au 10 when dingi z bout to head home mnavirudisha.
- chai ya saa 10 jioni
- mgeni akija homu basi mtu lazima uambiwe kalete kapu na chupa uende dukani ukalete soda/bia.
- mixing karanga kwenye mirinda
- b4 cell phone vichwa vyetu vilikuwa vinaweza kumemorizi namba za simu ila siku hizi cell phone jus made our medulla oblongata domant.
- our baby cribs/bassonets were yale matenga ya jkt
- mtu ulikuwa ukiumwa basi mama anakupikia chips na wengine ni mwendo wa wali harage.
- sabuni ya kuogea ya gardenia au imperial
- vyumba vyetu vilikuwa havita kitu zaidi ya kitanda, panga boi na bonge la kabati iliyojaa viwalo 5 au 7 tu. kimoja cha kanisani.
- kila maza alikuwa anafuga kuku na madingi walikuwa na ng'ombe
- lile ngonde (long distance walkin) toka shule hadi homu huku kaki ya shule likiwa imejaa jasho la matako.
IMEANDIKWA NA MDAU ARIS
the way u write umenipeleka mbali sanaaa back home hadi raha...the good old days..nice piece
ReplyDelete