.

.

.

.

Wednesday, September 09, 2009

MUZIKI WA INJILI MWANZA


Pichani ni mmoja wa waimbaji mahiri wa nyimbo za kiroho hapa bongo,anaitwa Bon Mwaitege ambaye amewahi kutamba na kupokelewa vyema na vyimbo zake kadhaa ukiwemo wimbo wa MKE MWEMA pamoja na wimbo wa UTANITAMBUAJE,kulia ni mkewe walipokuwa wakiimba pamoja katika kumpa tafu mwimbaji mwenzao katika uzinduzi wake Rose Muhando wa albamu ilioitwa Nibebe uliofanyika katika ukumbi wa Mwanza hotel ,uzinduzi huo uliandaliwa na FLORAH TALENT PROMOTIONS ya jijini Mwanza.

No comments:

Post a Comment