.

.

.

.

Tuesday, February 01, 2011

LEO TENA ...... INA MIAKA SABA


Dina Marios

Dina, Zamarad, Husna na Gea.

Ni miaka 7 sasa toka LEO TENA ya Clouds FM ilipoanzishwa, wewe umekuwa msikilizaji wetu kwa muda sasa na msimu huu wa sherehe za miaka 7 tuna mengi ya kukupa. Ni shamrashamra zitakazodumu kwa mwezi mzima wa February ina maana ni kuanzia tarehe 1 inayoanza kesho. Dina Marios pamoja na timu yake nzima wanakukaribisha kusherehekee pamoja!!

No comments:

Post a Comment