.

.

.

.

Sunday, December 18, 2011

CLOUDS FM YANYAKUA TUZO YA SUPERBRANDS KWA MWAKA WA PILI MFULULIZO

Makamu wa Rais Dk. Gharib Bilal akimkabidhi tuzo ya Superbrands Bw. Joseph Kusaga mkurugenzi wa Clouds Fm , katikati ni Mkurugenzi wa Mradi wa Superbrandy East Africa Jawad Jaffer, katika hafla ya kutoa tuzo kwa makampuni yaliyofanya vizuri katika ubora wa viwango vya bidhaa na kukubalika kwa walaji, katika hafla iliyofanyika kwenye hoteli ya Hyatt Regency Dar es Salaam usiku wa jana, ambapo makampuni mbalimbali yalipata tuzo kutoka kwa taasisi hiyo.

No comments:

Post a Comment