.

.

.

.

Sunday, December 18, 2011

OLIVIA CHAGULA APOKEA MEDALI YA BABU YAKE


Rais Jakaya Kikwete akiwakabidhi Bw. Clement A. Chagula na bintiye Olivia A. Chagula medali kwa niaba ya baba na babu yao Marehemu Dkt. Wilbert Chagula, ambaye aikuwa ni mmoja wa mawaziri katika serikali ya awamu ya kwanza na mmoja wa watu maarufu waliotunukiwa nishani katika kuadhimisha miaka 50 ya Uhuru. Bw Chagula, ambaye ni mtoto wa marehemu, hakuweza kufika Dar es salaam kupokea medali hiyo na Rais alipokuwa Kampala akatumia nafasi hiyo kumpatia jjana asubuhi katika hoteli ya Speke Commonwealth Resort

No comments:

Post a Comment