.

.

.

.

Thursday, May 15, 2014

DIAMOND KUKAMUA NA OMMY DIMPOZ JUMAMOSI HII UKUMBI WA OASIS THAMESVIEW BARKINGHey watu wangu wa London Diamond Platnumz pamoja na team yake nzima ya Wasafi wakisindikizwa na Ommy Dimpoz watakuwa na show Jumamosi hii pale pale Oasis Barking, alipokuwa afanyie last week. 

Kingilio ni £20 only karibuni tusupport wakwetu. 

Kama unahitaji ticket tuwasiliane inbox au whatsapp 07557304940/ 07473494441 / 07789725676 (business only please).

No comments:

Post a Comment